Psalms 2:2-3

2 a bWafalme wa dunia wanajipanga
na watawala wanajikusanya pamoja
dhidi ya Bwana
na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake.
3 cWanasema, “Tuvunje minyororo yao
na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Copyright information for SwhNEN